The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 21 › Isaiah 21:9

Isaiah 21:9

Tazama, yuaja mtu anayepanda gari la vita 2 pamoja na kundi la farasi. 1 Naye anajibu: 2 ‘Babeli umeanguka, umeanguka! 1 Vinyago vyote vya miungu yake 2 vimelala chini vikiwa vimevunjwa!’ ” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And, behold, here cometh a chariot of men, with a couple of horsemen. And he answered and said, Babylon is fallen, is fallen; and all the graven images of her gods he hath broken unto the ground.

In Context

8Naye mlinzi alipaza sauti, 1 “Mchana baada ya mchana, bwana wangu, ninasimama katika mnara wa ulinzi, 2 kila usiku ninakaa mahali pangu nilipoamriwa. 1

10Ee watu wangu, mliopondwa kwenye sakafu ya kupuria, 2 ninawaambia kile nilichokisikia 1 kutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 kutoka kwa Mungu wa Israeli. 1 Unabii Dhidi Ya Edomu

Read all of Isaiah 21

Cross References

Isaiah 14:4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: 1 Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! 2 Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 1

Jeremiah 50:2“Tangazeni na mhubiri katikati ya mataifa, 2 twekeni bendera na mkahubiri; 2 msiache kitu chochote, bali semeni, 1 ‘Babeli utatekwa; 2 Beli ataaibishwa, 2 Merodaki atajazwa na hofu kuu. 1 Sanamu zake zitaaibishwa 2 na vinyago vyake vitajazwa hofu kuu.’ 1

Jeremiah 50:29“Waiteni wapiga mishale dhidi ya Babeli, 2 wote wale wavutao upinde. 1 Pigeni kambi kumzunguka kabisa, 2 asitoroke mtu yeyote. 1 Mlipizeni kwa matendo yake; 2 mtendeeni kama alivyotenda. 1 Kwa kuwa alimdharau Bwana, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Jeremiah 50:42Wamejifunga pinde na mikuki; 2 ni wakatili na wasio na huruma. 1 Wanatoa sauti kama bahari inayonguruma 2 wanapoendesha farasi zao; 1 wanakuja kama watu waliojipanga tayari kwa vita 2 ili kukushambulia, ee Binti Babeli. 1

Jeremiah 51:27“Twekeni bendera katika nchi! 2 Pigeni tarumbeta katikati ya mataifa! 1 Andaeni mataifa kwa ajili ya vita dhidi yake, 2 iteni falme hizi dhidi yake: 2 Ararati, Mini na Ashkenazi. 1 Wekeni jemadari dhidi yake, 2 pelekeni farasi wengi kama kundi la nzige. 1

Jeremiah 51:47Kwa kuwa hakika wakati utawadia 2 nitakapoziadhibu sanamu za Babeli; 1 nchi yake yote itatiwa aibu, 2 na watu wake wote waliouawa 2 wataangukia ndani yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 21:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 21:8Isaiah 21Isaiah 21:10 →