Isaiah 21:11
Neno kuhusu Duma: 1 Mtu fulani ananiita kutoka Seiri, 2 “Mlinzi, usiku utaisha lini? 2 Mlinzi, usiku utaisha lini?” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 25:14Mishma, Duma, Masa,
Genesis 32:4Akawaagiza akisema: “Hili ndilo mtakalomwambia bwana wangu Esau: ‘Mtumishi wako Yakobo anasema, nimekuwa nikiishi pamoja na Labani na nimekuwako huko mpaka sasa.
Deuteronomy 2:5Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.
1 Chronicles 1:30Mishma, Duma, Masa, Hadadi, Tema,
Isaiah 21:6Hili ndilo Bwana analoniambia: 1 “Nenda, weka mlinzi, 2 na atoe taarifa ya kile anachokiona. 1
Isaiah 34:5Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, 2 tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, 1 wale watu ambao nimeshawahukumu, 2 kuwaangamiza kabisa. 1