Isaiah 21:12
Mlinzi anajibu, 2 “Asubuhi inakuja, lakini pia usiku. 1 Kama ungeliuliza, basi uliza; 2 bado na urudi tena.” 1 Unabii Dhidi Ya Arabia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Neno kuhusu Arabia: 1 Enyi misafara ya Wadedani, 2 mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia, 1
Cross References
Isaiah 17:14Wakati wa jioni, hofu ya ghafula! 2 Kabla ya asubuhi, wametoweka! 1 Hili ndilo fungu la wale wanaotupora, 2 fungu la wale wanaotunyangʼanya mali zetu.
Jeremiah 42:19“Enyi mabaki ya Yuda, Bwana amewaambia, ‘Msiende Misri.’ Hakikisheni jambo hili: Ninawaonya leo
Ezekiel 7:5“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Maafa! Maafa ambayo hayajasikiwa yanakuja.
Ezekiel 7:12Wakati umewadia, siku imefika. Mnunuzi na asifurahi wala muuzaji asihuzunike, kwa maana ghadhabu iko juu ya kundi lote.
Ezekiel 18:30“Kwa hiyo, ee nyumba ya Israeli, nitawahukumu, kila mmoja sawasawa na njia zake, asema Bwana Mwenyezi. Tubuni! Geukeni kutoka makosa yenu yote, ndipo dhambi haitakuwa anguko lenu.
Acts 2:37Watu waliposikia maneno haya yakawachoma mioyo yao, wakawauliza Petro na wale mitume wengine, “Ndugu zetu tufanye nini?”