The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 21 › Isaiah 21:13

Isaiah 21:13

Neno kuhusu Arabia: 1 Enyi misafara ya Wadedani, 2 mnaopiga kambi katika vichaka vya Arabia, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The burden upon Arabia. In the forest in Arabia shall ye lodge, O ye travelling companies of Dedanim.

In Context

12Mlinzi anajibu, 2 “Asubuhi inakuja, lakini pia usiku. 1 Kama ungeliuliza, basi uliza; 2 bado na urudi tena.” 1 Unabii Dhidi Ya Arabia

14leteni maji kwa wenye kiu, 2 ninyi mnaoishi Tema, 2 leteni chakula kwa ajili ya wakimbizi. 1

Read all of Isaiah 21

Cross References

1 Kings 10:15mbali na mapato kutoka kwa wafanyabiashara na wachuuzi, na kutoka kwa wafalme wote wa Kiarabu na watawala wa nchi.

1 Chronicles 1:32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: 2 Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. 1 Wana wa Yokshani walikuwa: 2 Sheba na Dedani. 1

Isaiah 13:20Hautakaliwa na watu kamwe 2 wala watu hawataishi humo kwa vizazi vyote. 1 Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake huko, 2 hakuna mchungaji atakayepumzisha makundi yake huko. 1

Jeremiah 25:24wafalme wote wa Arabuni na wafalme wote wa watu wageni wanaoishi katika jangwa;

Jeremiah 49:28Kuhusu Kedari na falme za Hazori, ambazo Nebukadneza mfalme wa Babeli alizishambulia: Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Inuka, ushambulie Kedari 2 na kuwaangamiza watu wa mashariki. 1

Ezekiel 27:20“ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 21:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 21:12Isaiah 21Isaiah 21:14 →