The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 21 › Isaiah 21:8

Isaiah 21:8

Naye mlinzi alipaza sauti, 1 “Mchana baada ya mchana, bwana wangu, ninasimama katika mnara wa ulinzi, 2 kila usiku ninakaa mahali pangu nilipoamriwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he cried, A lion: My lord, I stand continually upon the watchtower in the daytime, and I am set in my ward whole nights:

In Context

7Anapoona magari ya vita 2 pamoja na kundi la farasi, 1 wapanda punda au wapanda ngamia, 2 na awe macho, awe macho kikamilifu.”

9Tazama, yuaja mtu anayepanda gari la vita 2 pamoja na kundi la farasi. 1 Naye anajibu: 2 ‘Babeli umeanguka, umeanguka! 1 Vinyago vyote vya miungu yake 2 vimelala chini vikiwa vimevunjwa!’ ” 1

Read all of Isaiah 21

Cross References

Psalms 63:6Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe, 2 ninawaza juu yako makesha yote ya usiku. 1

Isaiah 5:29Ngurumo yao ni kama ile ya simba, 2 wananguruma kama wana simba, 1 wanakoroma wanapokamata mawindo yao, 2 na kuondoka nayo pasipo yeyote wa kuokoa. 1

Isaiah 62:6Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu, 2 hawatanyamaza mchana wala usiku. 1 Ninyi wenye kumwita Bwana, 2 msitulie, 1

Jeremiah 25:38Kama simba ataacha pango lake, 2 nchi yao itakuwa ukiwa 1 kwa sababu ya upanga wa mdhalimu, 2 na kwa sababu ya hasira kali ya Bwana Mungu.

Jeremiah 50:44Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani 2 kuja kwenye nchi ya malisho mengi, 1 ndivyo nitamfukuza Babeli kutoka nchi yake ghafula. 2 Ni nani aliye mteule, 2 nitakayemweka kwa ajili ya jambo hili? 1 Ni nani aliye kama mimi, 2 na ni nani awezaye kunipinga? 1 Tena ni mchungaji yupi 2 awezaye kusimama kinyume nami?” 1

1 Peter 5:8Mwe na kiasi na kukesha, maana adui yenu ibilisi huzungukazunguka kama simba angurumaye akitafuta mtu ili apate kummeza.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 21:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 21:7Isaiah 21Isaiah 21:9 →