Isaya 22:11
Mlijenga bwawa la maji katikati ya kuta mbili 2 kwa ajili ya maji ya Bwawa la Zamani, 1 lakini hamkumtazama Yule aliyelitengeneza, 2 au kuwa na heshima kwa Yule aliyeubuni tangu zamani za kale. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Mlihesabu majengo katika Yerusalemu 2 nanyi mkabomoa nyumba ili kuimarisha ukuta. 1
Cross References
2 Kings 20:20Matukio mengine ya utawala wa Hezekia, mafanikio yake yote, na jinsi alivyotengeneza bwawa na mfereji ambao ulileta maji katika mji, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda?
2 Chronicles 6:6Lakini sasa nimeuchagua Yerusalemu ili Jina langu lipate kuwamo humo, na nimemchagua Daudi kuwatawala watu wangu Israeli.’
2 Chronicles 32:3akafanya shauri na maafisa wake na mashujaa wake juu ya kuzuia maji kutoka chemchemi zilizo nje ya mji, nao wakamsaidia.
Isaiah 7:3Ndipo Bwana akamwambia Isaya, “Toka uende, wewe na mwanao Shear-Yashubu, + 7:3 Shear-Yashubu maana yake Mabaki Watarudi. mkutane na Ahazi huko mwisho wa mfereji wa Bwawa la Juu, kwenye barabara iendayo Shamba la Dobi.
Isaiah 17:7Katika siku ile watu watamwangalia Muumba wao, 2 na kuelekeza macho yao kwa yule Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Isaiah 37:26“Je, hujasikia? 2 Zamani sana niliamuru hili. 1 Siku za kale nilipanga hili; 2 sasa nimelifanya litokee, 1 kwamba umegeuza miji yenye ngome 2 kuwa malundo ya mawe. 1