Isaiah 22:16
Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusa 2 kujikatia kaburi lako mwenyewe, 1 ukichonga kaburi lako mahali palipo juu, 2 na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17“Jihadhari, Bwana yu karibu kukukamata thabiti, 2 na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu. 1
Cross References
2 Chronicles 16:14Nao wakamzika katika kaburi lile alilokuwa amejichongea mwenyewe katika Mji wa Daudi. Wakamzika kwa jeneza lililowekwa vikolezi na mchanganyiko wa manukato ya aina mbalimbali yaliyotengenezwa kwa utaalamu wa mtengeneza marashi, nao wakawasha moto mkubwa kwa heshima yake.
Isaiah 14:18Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima 2 kila mmoja katika kaburi lake. 1
Micah 2:10Inuka, nenda zako! 2 Kwa maana hapa sio mahali pako pa kupumzikia, 1 kwa sababu pametiwa unajisi, 2 pameharibiwa, wala hapatengenezeki tena. 1