The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 22 › Isaya 22:17

Isaya 22:17

“Jihadhari, Bwana yu karibu kukukamata thabiti, 2 na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, the LORD will carry thee away with a mighty captivity, and will surely cover thee.

In Context

16Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusa 2 kujikatia kaburi lako mwenyewe, 1 ukichonga kaburi lako mahali palipo juu, 2 na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba? 1

18Atakuvingirisha uwe kama mpira 2 na kukutupa katika nchi kubwa. 1 Huko ndiko utakakofia, 2 na huko ndiko magari yako ya vita ya fahari yatabakia, 2 wewe unayeifedhehesha nyumba ya bwana wako! 1

Read all of Isaya 22

Cross References

Esther 7:8Mara mfalme aliporudi kutoka bustani ya jumba la kifalme na kuja kwenye ukumbi wa karamu, Hamani alikuwa akijitupa juu ya kiti mahali ambapo Esta alikuwa akiegemea. Mfalme akasema kwa nguvu, “Je, atamdhalilisha malkia hata huku nyumbani akiwa pamoja nami!” Mara neno lilipotoka kinywani mwa mfalme, walifunika uso wa Hamani.

Jeremiah 10:18Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 2 “Wakati huu, nitawatupa nje kwa nguvu 2 wote waishio katika nchi hii; 1 nitawataabisha 2 ili waweze kutekwa.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 22:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 22:16Isaya 22Isaya 22:18 →