Isaya 14:18
Wafalme wote wa mataifa wamelala kwa heshima 2 kila mmoja katika kaburi lake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All the kings of the nations, even all of them, lie in glory, every one in his own house.
In Context
Cross References
2 Chronicles 24:16Wakamzika pamoja na wafalme katika Mji wa Daudi, kwa sababu ya mema aliyokuwa ametenda katika Israeli kwa ajili ya Mungu na Hekalu lake. 1 Uovu Wa Yoashi
Job 3:14pamoja na wafalme na washauri wa dunia, 2 waliojijengea mahali ambapo sasa ni magofu, 1
Ecclesiastes 6:3Mtu anaweza kuwa na watoto mia moja naye akaishi miaka mingi, lakini haidhuru kuwa ataishi muda mrefu kiasi gani, kama hawezi kufurahia mafanikio yake na kwamba hapati mazishi ya heshima, ninasema afadhali mtoto aliyezaliwa akiwa amekufa kuliko yeye.
Isaiah 22:16Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusa 2 kujikatia kaburi lako mwenyewe, 1 ukichonga kaburi lako mahali palipo juu, 2 na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba? 1