The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 22 › Isaya 22:18

Isaya 22:18

Atakuvingirisha uwe kama mpira 2 na kukutupa katika nchi kubwa. 1 Huko ndiko utakakofia, 2 na huko ndiko magari yako ya vita ya fahari yatabakia, 2 wewe unayeifedhehesha nyumba ya bwana wako! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He will surely violently turn and toss thee like a ball into a large country: there shalt thou die, and there the chariots of thy glory shall be the shame of thy lord’s house.

In Context

17“Jihadhari, Bwana yu karibu kukukamata thabiti, 2 na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu. 1

19Nitakuondoa kutoka kazi yako, 2 nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako.

Read all of Isaya 22

Cross References

Isaiah 17:13Ingawa mataifa yanavuma kama ngurumo za maji yanayofanya mawimbi, 2 wakati anapoyakemea yanakimbia mbali, 1 yanafukuzwa mbele ya upepo kama makapi juu ya milima, 2 kama jani livingirishwapo na dhoruba. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 22:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 22:17Isaya 22Isaya 22:19 →