Isaya 22:19
Nitakuondoa kutoka kazi yako, 2 nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will drive thee from thy station, and from thy state shall he pull thee down.
In Context
20“Katika siku ile, nitamwita mtumishi wangu, Eliakimu mwana wa Hilkia.
Cross References
Job 40:11Fungulia ukali wa ghadhabu yako, 2 mtafute kila mwenye kiburi umshushe, 1
Ezekiel 17:24Miti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi Bwana ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi. “ ‘Mimi Bwana nimesema, nami nitatenda.’ ”