Isaya 22:25
Bwana Mwenye Nguvu Zote asema, “Katika siku ile, kigingi kilichogongomewa mahali imara kitaachia njia. Kitakatwa, nacho kitaanguka na mzigo ulioningʼinia juu yake utaanguka chini.” Bwana amesema.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Esther 9:5Wayahudi waliwaangusha adui zao wote kwa upanga wakiwaua na kuwaangamiza, nao walifanya kile walichotaka kwa wale waliowachukia.
Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1
Isaiah 22:15Hili ndilo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, asemalo: 1 “Nenda ukamwambie huyu wakili Shebna, 2 ambaye ni msimamizi wa jumba la kifalme: 1
Isaiah 46:11Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye; 2 kutoka nchi ya mbali, 2 mtu atakayetimiza kusudi langu. 1 Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; 2 lile nililolipanga, ndilo nitakalolitenda. 1
Jeremiah 4:28Kwa hiyo dunia itaomboleza 2 na mbingu zilizo juu zitakuwa giza, 1 kwa sababu nimesema nami sitarudi nyuma, 2 nimeamua na wala sitageuka.” 1
Ezekiel 5:13“Ndipo hasira yangu itakapokoma na ghadhabu yangu dhidi yao itatulia, nami nitakuwa nimelipiza kisasi. Baada ya kuimaliza ghadhabu yangu juu yao, watajua kuwa mimi Bwana nimenena katika wivu wangu.