Yeremia 4:28
Kwa hiyo dunia itaomboleza 2 na mbingu zilizo juu zitakuwa giza, 1 kwa sababu nimesema nami sitarudi nyuma, 2 nimeamua na wala sitageuka.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Hivi ndivyo Bwana asemavyo: 2 “Nchi yote itaharibiwa, 2 ingawa sitaiangamiza kabisa. 1
Cross References
Numbers 23:19Mungu si mtu, hata aseme uongo, 2 wala yeye si mwanadamu, hata ajute. 1 Je, anasema, kisha asitende? 2 Je, anaahidi, asitimize? 1
Isaiah 5:30Katika siku ile watanguruma juu yake 2 kama ngurumo za bahari. 1 Kama mtu akiitazama nchi, 2 ataona giza na dhiki; 2 hata nuru itatiwa giza kwa mawingu.
Isaiah 24:4Dunia inakauka na kunyauka, 2 dunia inanyongʼonyea na kunyauka, 2 waliotukuzwa wa dunia wananyongʼonyea. 1
Isaiah 34:4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka 2 na anga litasokotwa kama kitabu, 1 jeshi lote la angani litaanguka 2 kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, 2 kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. 1
Isaiah 50:3Ninalivika anga weusi na kufanya nguo ya gunia 2 kuwa kifuniko chake.” 1
Jeremiah 7:16“Kwa hiyo usiombe kwa ajili ya watu hawa, wala usinililie, na usifanye maombi kwa ajili yao; usinisihi, kwa sababu sitakusikiliza.