The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 46 › Isaiah 46:11

Isaiah 46:11

Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye; 2 kutoka nchi ya mbali, 2 mtu atakayetimiza kusudi langu. 1 Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; 2 lile nililolipanga, ndilo nitakalolitenda. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Calling a ravenous bird from the east, the man that executeth my counsel from a far country: yea, I have spoken it, I will also bring it to pass; I have purposed it, I will also do it.

In Context

10Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, 2 naam, tangu zamani za kale, 2 mambo ambayo hayajatendeka. 1 Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, 2 nami nitatenda mapenzi yangu yote. 1

12Nisikilizeni, ninyi wenye mioyo migumu, 2 ninyi mlio mbali na haki. 1

Read all of Isaiah 46

Cross References

Ezra 1:2“Hili ndilo asemalo Koreshi mfalme wa Uajemi: “ ‘ Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote duniani, na ameniagiza kumjengea Hekalu huko Yerusalemu katika Yuda.

Psalms 76:10Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, 2 na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi. 1

Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”

Isaiah 14:24Bwana Mwenye Nguvu Zote ameapa, 1 “Hakika, kama vile nilivyopanga, ndivyo itakavyokuwa, 2 nami kama nilivyokusudia, ndivyo itakavyosimama. 1

Isaiah 21:7Anapoona magari ya vita 2 pamoja na kundi la farasi, 1 wapanda punda au wapanda ngamia, 2 na awe macho, awe macho kikamilifu.”

Isaiah 38:15Lakini niseme nini? 2 Amesema nami, naye yeye mwenyewe amelitenda hili. 1 Nitatembea kwa unyenyekevu 2 katika miaka yangu yote 1 kwa sababu ya haya maumivu makali 2 ya nafsi yangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 46:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 46:10Isaiah 46Isaiah 46:12 →