The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 23 › Isaya 23:15

Isaya 23:15

Wakati huo Tiro utasahauliwa kwa miaka sabini, muda wa maisha ya mfalme. Lakini mwisho wa miaka hiyo sabini, itakuwa kwa Tiro kama ilivyo katika wimbo wa kahaba: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it shall come to pass in that day, that Tyre shall be forgotten seventy years, according to the days of one king: after the end of seventy years shall Tyre sing as an harlot.

In Context

14Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi; 2 ngome yenu imeangamizwa!

16“Twaa kinubi, tembea mjini kote, 2 ewe kahaba uliyesahauliwa; 1 piga kinubi vizuri, imba nyimbo nyingi, 2 ili upate kukumbukwa.”

Read all of Isaya 23

Cross References

Jeremiah 25:9nitayaita mataifa yote ya kaskazini na mtumishi wangu Nebukadneza mfalme wa Babeli,” asema Bwana. “Nitawaleta waishambulie nchi hii na wakazi wake wote, na dhidi ya mataifa yote yanayowazunguka. Nitawaangamiza kabisa na kuwafanya kitu cha kuchukiwa na kudharauliwa, na kuwa magofu daima.

Jeremiah 25:22wafalme wote wa Tiro na Sidoni; wafalme wa nchi za pwani ngʼambo ya bahari;

Jeremiah 29:10Hili ndilo asemalo Bwana: “Miaka sabini itakapotimia kwa ajili ya Babeli, nitakuja kwenu na kutimiza ahadi yangu ya rehema ya kuwarudisha mahali hapa.

Ezekiel 27:25“ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo 2 zinazokusafirishia bidhaa zako. 1 Umejazwa shehena kubwa 2 katika moyo wa bahari. 1

Daniel 7:14Akapewa mamlaka, utukufu na ufalme wenye nguvu; nao watu wa kabila zote, mataifa, na watu wa kila lugha wakamwabudu. Utawala wake ni utawala wa milele ambao hautapita, nao ufalme wake ni ule ambao kamwe hautaangamizwa. 1 Tafsiri Ya Ndoto

Hosea 2:15Huko nitamrudishia mashamba yake ya mizabibu, 2 nami nitalifanya Bonde la Akori + 2:15 Akori maana yake ni Taabu. 2 mlango wa matumaini. 1 Huko ataimba kama alivyofanya katika siku za ujana wake, 2 kama siku zile alizotoka Misri. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 23:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 23:14Isaya 23Isaya 23:16 →