The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 23 › Isaya 23:16

Isaya 23:16

“Twaa kinubi, tembea mjini kote, 2 ewe kahaba uliyesahauliwa; 1 piga kinubi vizuri, imba nyimbo nyingi, 2 ili upate kukumbukwa.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Take an harp, go about the city, thou harlot that hast been forgotten; make sweet melody, sing many songs, that thou mayest be remembered.

In Context

15Wakati huo Tiro utasahauliwa kwa miaka sabini, muda wa maisha ya mfalme. Lakini mwisho wa miaka hiyo sabini, itakuwa kwa Tiro kama ilivyo katika wimbo wa kahaba: 1

17Mwishoni mwa miaka sabini, Bwana atashughulika na Tiro. Naye atarudia ajira yake ya ukahaba, na atafanya biashara yake na falme zote juu ya uso wa dunia.

Read all of Isaya 23

Cross References

Proverbs 7:10Ndipo huyo mwanamke akatoka kumlaki, 2 hali amevaa kama kahaba akiwa na nia ya udanganyifu. 1

Nahum 3:4yote haya kwa sababu ya wingi wa tamaa za kahaba, 2 anayeshawishi, bibi wa mambo ya uchawi, 1 anayewatia utumwani mataifa kwa ukahaba wake 2 na pia jamaa za watu kwa ulozi wake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 23:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 23:15Isaya 23Isaya 23:17 →