Isaya 23:14
Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi; 2 ngome yenu imeangamizwa!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Howl, ye ships of Tarshish: for your strength is laid waste.
In Context
Cross References
Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1
Ezekiel 27:25“ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo 2 zinazokusafirishia bidhaa zako. 1 Umejazwa shehena kubwa 2 katika moyo wa bahari. 1