The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 23 › Isaiah 23:2

Isaiah 23:2

Nyamazeni kimya, enyi watu wa kisiwani, 2 pia ninyi wafanyabiashara wa Sidoni, 2 ambao mabaharia wamewatajirisha. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be still, ye inhabitants of the isle; thou whom the merchants of Zidon, that pass over the sea, have replenished.

In Context

1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1

3Kwenye maji makuu 2 nafaka za Shihori zilikuja; 1 mavuno ya Naili yalikuwa mapato ya Tiro, 2 naye akawa soko la mataifa. 1

Read all of Isaiah 23

Cross References

Psalms 46:10“Tulieni, mjue ya kwamba mimi ndimi Mungu; 2 nitatukuzwa katikati ya mataifa, 2 nitatukuzwa katika dunia.” 1

Isaiah 47:5“Keti kimya, ingia gizani, 2 Binti wa Wakaldayo, 2 hutaitwa tena malkia wa falme. 1

Ezekiel 27:8Watu kutoka Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako; 2 watu wako wenye ustadi, ee Tiro, 2 walikuwa ndio mabaharia wako. 1

Habakkuk 2:20Lakini Bwana yuko katika Hekalu lake takatifu; 2 dunia yote na inyamaze mbele yake.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 23:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 23:1Isaiah 23Isaiah 23:3 →