The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 23 › Isaiah 23:1

Isaiah 23:1

Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The burden of Tyre. Howl, ye ships of Tarshish; for it is laid waste, so that there is no house, no entering in: from the land of Chittim it is revealed to them.

In Context

2Nyamazeni kimya, enyi watu wa kisiwani, 2 pia ninyi wafanyabiashara wa Sidoni, 2 ambao mabaharia wamewatajirisha. 1

Read all of Isaiah 23

Cross References

Genesis 10:4Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.

Joshua 19:29Mpaka huo ukageukia nyuma kuelekea Rama na kwenda hadi kwenye mji wenye ngome wa Tiro, ukageuka kuelekea Hosa na kutokeza baharini katika eneo la Akzibu,

1 Kings 10:22Mfalme alikuwa na meli nyingi za biashara + 10:22 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). baharini zilizokuwa zikiandamana na meli za Hiramu. Kwa mara moja kila miaka mitatu zilirudi, zikiwa zimebeba dhahabu, fedha, pembe za ndovu na nyani wakubwa na wadogo.

2 Chronicles 9:21Mfalme alikuwa na meli nyingi za biashara + 9:21 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). baharini zilizoendeshwa na watu wa Hiramu. Kwa mara moja kila miaka mitatu zilirudi, zikiwa zimebeba dhahabu, fedha, pembe za ndovu na nyani wakubwa na wadogo.

Isaiah 2:16kwa kila meli ya biashara, + 2:16 Au: ya Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 60:9 .) 2 na kila chombo cha baharini cha fahari. 1

Isaiah 15:8Mwangwi wa kilio chao umefika hadi mpakani mwa Moabu, 2 kilio chao cha huzuni kimefika hadi Eglaimu, 2 maombolezo yao hadi Beer-Elimu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 23:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Isaiah 23Isaiah 23:2 →