The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 23 › Isaiah 23:3

Isaiah 23:3

Kwenye maji makuu 2 nafaka za Shihori zilikuja; 1 mavuno ya Naili yalikuwa mapato ya Tiro, 2 naye akawa soko la mataifa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And by great waters the seed of Sihor, the harvest of the river, is her revenue; and she is a mart of nations.

In Context

2Nyamazeni kimya, enyi watu wa kisiwani, 2 pia ninyi wafanyabiashara wa Sidoni, 2 ambao mabaharia wamewatajirisha. 1

4Uaibishwe ee Sidoni, nawe ee ngome la bahari, 2 kwa kuwa bahari imesema: 1 “Sijapata kuwa na uchungu wa kuzaa wala sijapata kuzaa, 2 wala sijapata kulea wana wala kutunza mabinti.” 1

Read all of Isaiah 23

Cross References

1 Chronicles 13:5Basi Daudi akawakusanya Waisraeli wote, kuanzia Mto Shihori ulioko Misri hadi Lebo-Hamathi, ili kulileta Sanduku la Mungu kutoka Kiriath-Yearimu.

Isaiah 23:8Ni nani amepanga hili dhidi ya Tiro, 2 mji utoao mataji, 1 ambao wafanyabiashara wake ni wana wa mfalme 2 na wachuuzi wake ni watu mashuhuri wa dunia? 1

Jeremiah 2:18Sasa kwa nini uende Misri 2 kunywa maji ya Shihori? + 2:18 Kijito kinachoelekeza maji katika Mto Naili. 1 Nawe kwa nini kwenda Ashuru 2 kunywa maji ya Mto Frati? 1

Ezekiel 27:33Wakati bidhaa zako zilipotoka baharini, 2 ulitosheleza mataifa mengi; 1 kwa wingi wa utajiri wako na bidhaa zako 2 ulitajirisha wafalme wa dunia. 1

Joel 3:5Kwa kuwa mlichukua fedha na dhahabu yangu pia mkabeba hazina zangu nzuri sana mkapeleka kwenye mahekalu yenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 23:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 23:2Isaiah 23Isaiah 23:4 →