Isaiah 23:5
Habari ifikapo Misri, 2 watakuwa katika maumivu makuu kwa ajili ya taarifa kutoka Tiro. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As at the report concerning Egypt, so shall they be sorely pained at the report of Tyre.
In Context
6Vukeni mpaka Tarshishi, 2 ombolezeni, enyi watu wa kisiwani. 1
Cross References
Joshua 2:9akawaambia, “Ninajua kuwa Bwana amewapa nchi hii na hofu kuu imetuangukia kwa sababu yenu, kiasi kwamba wote waishio katika nchi hii wanayeyuka kwa hofu kwa sababu yenu.
Ezekiel 26:15“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo kwa Tiro: ‘Je, nchi za pwani hazitatetemeka kwa kishindo cha anguko lako, wakati majeruhi wanapolia kwa maumivu makali na wakati mauaji yanaendelea ndani yako?
Ezekiel 28:19Mataifa yote yaliyokujua 2 yanakustajabia; 1 umefikia mwisho wa kutisha 2 na hutakuwepo tena milele.’ ” 1 Unabii Dhidi Ya Sidoni