The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 23 › Isaya 23:6

Isaya 23:6

Vukeni mpaka Tarshishi, 2 ombolezeni, enyi watu wa kisiwani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Pass ye over to Tarshish; howl, ye inhabitants of the isle.

In Context

5Habari ifikapo Misri, 2 watakuwa katika maumivu makuu kwa ajili ya taarifa kutoka Tiro. 1

7Je, huu ndio mji wenu uliojaa sherehe, 2 mji wa zamani, zamani kabisa 1 ambao miguu yake imeuchukua 2 kufanya makao nchi za mbali sana? 1

Read all of Isaya 23

Cross References

Isaiah 16:7Kwa hiyo Wamoabu wanaomboleza, 2 wanaiombolezea Moabu kwa pamoja. 1 Wanaomboleza na kuhuzunika 2 kwa ajili ya watu wa Kir-Haresethi. 1

Isaiah 23:1Neno kuhusu Tiro: 1 Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi! 2 Kwa kuwa Tiro imeangamizwa, 2 imeachwa bila nyumba wala bandari. 1 Kuanzia nchi ya Kitimu + 23:1 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. 2 neno limewajia. 1

Isaiah 23:12Alisema, “Usizidi kufurahi, 2 ee Bikira Binti Sidoni, sasa umepondwa! 1 “Simama, vuka uende Kitimu; 2 hata huko hutapata pumziko.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 23:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 23:5Isaya 23Isaya 23:7 →