Isaya 23:4
Uaibishwe ee Sidoni, nawe ee ngome la bahari, 2 kwa kuwa bahari imesema: 1 “Sijapata kuwa na uchungu wa kuzaa wala sijapata kuzaa, 2 wala sijapata kulea wana wala kutunza mabinti.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Habari ifikapo Misri, 2 watakuwa katika maumivu makuu kwa ajili ya taarifa kutoka Tiro. 1
Cross References
Genesis 10:15Kanaani alikuwa baba wa: 2 Sidoni mzaliwa wake wa kwanza, Hethi,
Jeremiah 47:3kwa sauti ya kwato za farasi waendao mbio, 2 kwa sauti ya magari ya adui 2 na mngurumo wa magurudumu yake. 1 Baba hawatageuka kuwasaidia watoto wao, 2 mikono yao italegea. 1
Ezekiel 28:21“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Sidoni, ukatabiri dhidi yake,
Revelation 18:23Mwanga wa taa 2 hautaangaza ndani yako tena. 1 Sauti ya bwana arusi na bibi arusi 2 kamwe haitasikika ndani yako tena. 1 Wafanyabiashara wako walikuwa watu maarufu wa dunia. 2 Mataifa yote yalipotoshwa kwa uchawi wako. 1