The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 23 › Isaiah 23:8

Isaiah 23:8

Ni nani amepanga hili dhidi ya Tiro, 2 mji utoao mataji, 1 ambao wafanyabiashara wake ni wana wa mfalme 2 na wachuuzi wake ni watu mashuhuri wa dunia? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Who hath taken this counsel against Tyre, the crowning city, whose merchants are princes, whose traffickers are the honourable of the earth?

In Context

7Je, huu ndio mji wenu uliojaa sherehe, 2 mji wa zamani, zamani kabisa 1 ambao miguu yake imeuchukua 2 kufanya makao nchi za mbali sana? 1

9Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye alipanga jambo hili, 2 ili kukishusha kiburi cha utukufu wote 1 na kuwanyenyekesha wale wote 2 ambao ni mashuhuri duniani. 1

Read all of Isaiah 23

Cross References

Deuteronomy 29:24Mataifa yote yatauliza: “Kwa nini Bwana amefanya hivi juu ya nchi hii? Kwa nini hasira hii kali ikawaka?”

Isaiah 36:9Utawezaje kumzuia hata afisa mmoja aliye mdogo kati ya maafisa wa bwana wangu, ijapo unategemea Misri kwa magari ya vita na wapanda farasi?

Ezekiel 28:2“Mwanadamu, mwambie mfalme wa Tiro, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Kwa sababu moyo wako umejivuna 2 na umesema, “Mimi ni mungu; 1 nami ninaketi katika kiti cha enzi cha mungu 2 katika moyo wa bahari.” 1 Lakini wewe ni mwanadamu, wala si mungu, 2 ingawa unafikiri kuwa una hekima kama mungu. 1

Zechariah 9:3Tiro amejijengea ngome imara, 2 amelundika fedha kama mavumbi 2 na dhahabu kama taka za mitaani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 23:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 23:7Isaiah 23Isaiah 23:9 →