The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 23 › Isaiah 23:9

Isaiah 23:9

Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye alipanga jambo hili, 2 ili kukishusha kiburi cha utukufu wote 1 na kuwanyenyekesha wale wote 2 ambao ni mashuhuri duniani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The LORD of hosts hath purposed it, to stain the pride of all glory, and to bring into contempt all the honourable of the earth.

In Context

8Ni nani amepanga hili dhidi ya Tiro, 2 mji utoao mataji, 1 ambao wafanyabiashara wake ni wana wa mfalme 2 na wachuuzi wake ni watu mashuhuri wa dunia? 1

10Ee Binti Tarshishi, 2 pita katika nchi yako kama vile Mto Naili 2 kwa kuwa huna tena bandari. 1

Read all of Isaiah 23

Cross References

Exodus 8:4Vyura watapanda juu yako, juu ya watu wako na maafisa wako wote.’ ”

Job 40:11Fungulia ukali wa ghadhabu yako, 2 mtafute kila mwenye kiburi umshushe, 1

Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1

Isaiah 2:17Majivuno ya mwanadamu yatashushwa, 2 na kiburi cha wanadamu kitanyenyekezwa, 1 Bwana peke yake ndiye atatukuzwa siku hiyo, 2

Isaiah 5:15Hivyo mwanadamu atashushwa, 2 na binadamu kunyenyekezwa, 2 macho ya wenye majivuno yatanyenyekezwa. 1

Isaiah 10:33Tazama, Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 atayakata matawi kwa nguvu kuu. 1 Miti mirefu sana itaangushwa, 2 ile mirefu itashushwa chini. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 23:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 23:8Isaiah 23Isaiah 23:10 →