Isaiah 23:7
Je, huu ndio mji wenu uliojaa sherehe, 2 mji wa zamani, zamani kabisa 1 ambao miguu yake imeuchukua 2 kufanya makao nchi za mbali sana? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Vukeni mpaka Tarshishi, 2 ombolezeni, enyi watu wa kisiwani. 1
Cross References
Ecclesiastes 10:7Mimi nimeona watumwa wamepanda farasi, 2 wakati wakuu wakitembea 2 kwa miguu kama watumwa. 1
Isaiah 32:13na kwa ajili ya nchi ya watu wangu, 2 nchi ambayo miiba na michongoma imemea: 1 naam, ombolezeni kwa ajili ya nyumba zote za furaha 2 na kwa ajili ya mji huu wenye kufanya sherehe. 1