Isaiah 24:13
Ndivyo itakavyokuwa duniani 2 na miongoni mwa mataifa, 1 kama vile wakati mzeituni upigwavyo, 2 au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Mji umeachwa katika uharibifu, 2 lango lake limevunjwa vipande. 1
Cross References
Isaiah 6:13Hata kama sehemu ya kumi ya watu watabaki katika nchi, 2 itaharibiwa tena. 1 Lakini kama vile mvinje na mwaloni 2 ibakizavyo visiki inapokatwa, 2 ndivyo mbegu takatifu 2 itakavyokuwa kisiki katika nchi.”
Isaiah 17:4“Katika siku ile utukufu wa Yakobo utafifia, 2 unono wa mwili wake utadhoofika. 1
Isaiah 17:6Hata hivyo baadhi ya masazo yatabaki, 2 kama vile mti wa mzeituni unavyopigwa, 1 kukiachwa zeituni mbili au tatu juu ya matawi kileleni, 2 nne au tano katika matawi yazaayo sana,” 4 asema Bwana, Mungu wa Israeli. 1
Ezekiel 6:8“ ‘Lakini nitawabakiza hai baadhi yenu, kwa kuwa baadhi yenu watanusurika kuuawa watakapokuwa wametawanyika katika nchi na mataifa.
Ezekiel 9:4akamwambia, “Pita katika mji wote wa Yerusalemu ukaweke alama juu ya vipaji vya nyuso za wale watu wanaohuzunika na kuomboleza kwa sababu ya machukizo yote yanayotendeka katika mji huu.”
Ezekiel 14:22Lakini watakuwepo wenye kuokoka, wana na binti wataletwa kutoka nje ya nchi hiyo. Watawajia ninyi, nanyi mtakapoona mwenendo wao na matendo yao, mtafarijika kuhusu maafa niliyoleta juu ya Yerusalemu, kwa ajili ya yale yote niliyoleta juu yake.