The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 6 › Isaiah 6:13

Isaiah 6:13

Hata kama sehemu ya kumi ya watu watabaki katika nchi, 2 itaharibiwa tena. 1 Lakini kama vile mvinje na mwaloni 2 ibakizavyo visiki inapokatwa, 2 ndivyo mbegu takatifu 2 itakavyokuwa kisiki katika nchi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But yet in it shall be a tenth, and it shall return, and shall be eaten: as a teil tree, and as an oak, whose substance is in them, when they cast their leaves: so the holy seed shall be the substance thereof.

In Context

12hadi Bwana atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana, 2 na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa. 1

Read all of Isaiah 6

Cross References

Genesis 22:18na kupitia uzao wako mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu umenitii.”

Ezra 9:2Wamewaoa baadhi ya binti zao kuwa wake zao na wake za wana wao, nao wamechanganya taifa takatifu na watu waliowazunguka. Nao viongozi na maafisa wamekuwa mstari wa mbele katika njia hii potovu.”

Job 14:7“Kwa maana lipo tumaini kwa mti; 2 kama ukikatwa utachipuka tena, 2 nayo machipukizi yake mapya hayatakoma. 1

Isaiah 4:3Wale watakaoachwa Sayuni, watakaobaki Yerusalemu, wataitwa watakatifu, wale wote ambao wameorodheshwa miongoni mwa walio hai huko Yerusalemu.

Isaiah 10:22Ingawa watu wako, ee Israeli, ni wengi kama mchanga wa pwani, 2 ni mabaki yao tu watakaorudi. 1 Maangamizi yamekwisha amriwa, 2 ni mengi tena ni haki. 1

Ezekiel 6:8“ ‘Lakini nitawabakiza hai baadhi yenu, kwa kuwa baadhi yenu watanusurika kuuawa watakapokuwa wametawanyika katika nchi na mataifa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 6:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 6:12Isaiah 6