Isaya 17:6
Hata hivyo baadhi ya masazo yatabaki, 2 kama vile mti wa mzeituni unavyopigwa, 1 kukiachwa zeituni mbili au tatu juu ya matawi kileleni, 2 nne au tano katika matawi yazaayo sana,” 4 asema Bwana, Mungu wa Israeli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 8:2Gideoni akawajibu, “Nilichofanya mimi ni nini kulinganisha na kile ninyi mlichofanya? Je, kuokoa masazo ya zabibu za Efraimu si bora kuliko mavuno kamili ya zabibu ya Abiezeri?
Isaiah 1:9Kama Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote + 1:9 Bwana Mwenye Nguvu Zote hapa ni Yehova Sabaoth, yaani Bwana wa Majeshi; pia Warumi 9:29 na Yakobo 5:4. 2 asingelituachia walionusurika, 1 tungelikuwa kama Sodoma, 2 tungelifanana na Gomora. 1
Isaiah 24:13Ndivyo itakavyokuwa duniani 2 na miongoni mwa mataifa, 1 kama vile wakati mzeituni upigwavyo, 2 au kama vile wakati masazo yabakiavyo baada ya zabibu kuvunwa. 1
Jeremiah 4:27Hivi ndivyo Bwana asemavyo: 2 “Nchi yote itaharibiwa, 2 ingawa sitaiangamiza kabisa. 1
Ezekiel 37:19Waambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitaichukua fimbo ya Yosefu, iliyoko mikononi mwa Efraimu na ya makabila ya Israeli yanayofungamana naye na kuiunganisha na fimbo ya Yuda, nikizifanya kuwa fimbo moja, nao watakuwa wamoja katika mkono wangu.’
Obadiah 1:5“Ikiwa wevi wangekuja kwako, 2 ikiwa wanyangʼanyi wangekujia usiku: 1 Lo! Tazama ni maafa kiasi gani yangekuwa yanakungojea: 2 je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? 1 Kama wachuma zabibu wangekuja kwako, 2 je, wasingebakiza zabibu chache? 1