The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 24 › Isaya 24:19

Isaya 24:19

Dunia imepasuka, 2 dunia imechanika, 2 dunia imetikiswa kabisa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The earth is utterly broken down, the earth is clean dissolved, the earth is moved exceedingly.

In Context

18Kila akimbiaye asikiapo sauti ya hofu 2 atatumbukia shimoni, 1 naye yeyote apandaye kutoka shimoni, 2 atanaswa kwenye mtego. 1 Malango ya gharika ya mbinguni yamefunguliwa, 2 misingi ya dunia inatikisika. 1

20Dunia inapepesuka kama mlevi, 2 inayumbayumba kama kibanda kwenye upepo; 1 imelemewa sana na mzigo wa hatia ya uasi wake 2 na ikianguka kamwe haitainuka tena. 1

Read all of Isaya 24

Cross References

Deuteronomy 11:6wala lile Mungu alilowafanyia Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu wa kabila la Reubeni, wakati ardhi ilipofungua kinywa chake katikati ya Israeli yote, ikawameza pamoja na walio nyumbani mwao, hema zao na kila kitu kilichokuwa hai ambacho kilikuwa mali yao.

Isaiah 34:4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka 2 na anga litasokotwa kama kitabu, 1 jeshi lote la angani litaanguka 2 kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, 2 kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. 1

Nahum 1:5Milima hutikisika mbele yake 2 na vilima huyeyuka. 1 Nchi hutetemeka mbele yake, 2 dunia na wote waishio ndani yake. 1

Matthew 24:3Yesu alipokuwa ameketi kwenye Mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamjia faraghani, wakamuuliza, “Tuambie, mambo haya yatatukia lini, nayo dalili ya kuja kwako na ya mwisho wa dunia ni gani?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 24:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 24:18Isaya 24Isaya 24:20 →