Isaya 24:18
Kila akimbiaye asikiapo sauti ya hofu 2 atatumbukia shimoni, 1 naye yeyote apandaye kutoka shimoni, 2 atanaswa kwenye mtego. 1 Malango ya gharika ya mbinguni yamefunguliwa, 2 misingi ya dunia inatikisika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Hofu, shimo na mtego vinakungojea, 2 ewe mtu ukaaye duniani. 1
19Dunia imepasuka, 2 dunia imechanika, 2 dunia imetikiswa kabisa. 1
Cross References
Genesis 19:24Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora.
Joshua 10:10Bwana akawafadhaisha mbele ya Waisraeli, nao wakawashinda kwa ushindi mkuu huko Gibeoni. Israeli wakawafukuza kuelekea njia iendayo Beth-Horoni wakiwaua mpaka kufikia njia iendayo Azeka na Makeda.
2 Kings 7:2Yule afisa ambaye mfalme alikuwa anauegemea mkono wake akamwambia yule mtu wa Mungu, “Tazama, hata kama Bwana atafungua madirisha ya mbinguni, je, jambo hili litawezekana?” Elisha akajibu, “Utaona kwa macho yako mwenyewe, lakini wewe hutakula chochote kati ya hivyo!” 1 Mwisho Wa Kuzingirwa
Job 20:24Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, 2 mshale wa shaba utamchoma. 1
Psalms 18:8Moshi ukapanda kutoka puani mwake, 2 moto uteketezao ukatoka kinywani mwake, 1 makaa ya moto yawakayo 2 yakatoka ndani mwake. 1
Psalms 46:2Kwa hiyo hatutaogopa, hata kama dunia ikiondolewa 2 nayo milima ikiangukia moyoni mwa bahari. 1