Isaya 24:20
Dunia inapepesuka kama mlevi, 2 inayumbayumba kama kibanda kwenye upepo; 1 imelemewa sana na mzigo wa hatia ya uasi wake 2 na ikianguka kamwe haitainuka tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Dunia imepasuka, 2 dunia imechanika, 2 dunia imetikiswa kabisa. 1
21Katika siku ile Bwana ataadhibu 2 nguvu zilizoko mbinguni juu, 2 na wafalme walioko duniani chini. 1
Cross References
Genesis 41:31“Neema iliyokuwa katika nchi haitakumbukwa, kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno.
Psalms 107:27Walipepesuka na kuyumbayumba kama walevi, 2 ujanja wao ukafikia ukomo. 1
Isaiah 1:28Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, 2 nao wanaomwacha Bwana wataangamia. 1
Isaiah 19:14Bwana amewamwagia 2 roho ya kizunguzungu; 1 wanaifanya Misri iyumbayumbe 2 katika yale yote inayoyafanya, 1 kama vile mlevi ayumbayumbavyo 2 katika kutapika kwake. 1
Isaiah 38:12Kama hema la mchunga mifugo, 2 nyumba yangu imebomolewa na kutwaliwa kutoka kwangu. 1 Kama mfumaji nimevingirisha maisha yangu, 2 naye amenikatilia mbali kutoka kitanda cha mfumi. 2 Mchana na usiku uliyakomesha maisha yangu. 1
Jeremiah 4:24Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka, 2 vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba. 1