Isaiah 24:2
ndivyo itakavyokuwa 2 kwa makuhani na kwa watu, 2 kwa bwana na kwa mtumishi, 2 kwa bibi na kwa mtumishi wake wa kike, 2 kwa muuzaji na kwa mnunuzi, 2 kwa mkopaji na kwa mkopeshaji, 2 kwa mdaiwa na kwa mdai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Dunia itaharibiwa kabisa 2 na kutekwa nyara kabisa. 4 Bwana amesema neno hili. 1
Cross References
Genesis 41:50Kabla ya miaka ya njaa kuanza, Asenathi binti Potifera, kuhani wa mji wa Oni, alikuwa amemzalia Yosefu wana wawili wa kiume.
Deuteronomy 23:19Usimtoze ndugu yako riba, iwe ni fedha ama chakula ama kitu kingine chochote ambacho waweza kupata riba juu yake.
2 Chronicles 36:20Wale watu walionusurika kuuawa kwa upanga wakachukuliwa kwenda uhamishoni Babeli. Nao wakawa watumishi wake na wa wanawe mpaka wakati wa utawala wa ufalme wa Uajemi ulifika.
Isaiah 3:2shujaa na mtu wa vita, 1 mwamuzi na nabii, 2 mwaguzi na mzee, 1
Isaiah 9:14Kwa hiyo Bwana atakatilia mbali kutoka Israeli kichwa na mkia, 2 tawi la mtende na tete katika siku moja. 1
Jeremiah 23:11“Nabii na kuhani wote si wacha Mungu; 2 hata hekaluni mwangu ninaona uovu wao,” 4 asema Bwana. 1