Isaiah 3:2
shujaa na mtu wa vita, 1 mwamuzi na nabii, 2 mwaguzi na mzee, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The mighty man, and the man of war, the judge, and the prophet, and the prudent, and the ancient,
In Context
3jemadari wa kikosi cha watu hamsini 2 na mtu mwenye cheo, mshauri, 2 fundi stadi na mlozi mjanja. 1
Cross References
1 Chronicles 9:1Waisraeli wote waliorodheshwa katika koo zilizoandikwa kwenye kitabu cha wafalme wa Israeli. 1 Watu Katika Yerusalemu Watu wa Yuda walichukuliwa mateka kwenda Babeli kwa sababu ya kukosa uaminifu kwa Mungu.
Isaiah 2:13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana, 2 na mialoni yote ya Bashani, 1
Lamentations 5:12Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao, 2 wazee hawapewi heshima. 1
Ezekiel 9:5Nikiwa ninasikia, akawaambia wale wengine, “Mfuateni anapopita katika mji wote mkiua, pasipo huruma wala masikitiko.
Amos 2:3Nitamwangamiza mtawala wake 2 na kuwaua maafisa wake wote pamoja naye,” 4 asema Bwana.