Isaiah 24:4
Dunia inakauka na kunyauka, 2 dunia inanyongʼonyea na kunyauka, 2 waliotukuzwa wa dunia wananyongʼonyea. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Dunia itaharibiwa kabisa 2 na kutekwa nyara kabisa. 4 Bwana amesema neno hili. 1
Cross References
Isaiah 2:11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa 2 na kiburi cha wanadamu kitashushwa, 1 Bwana peke yake ndiye atakayetukuzwa siku hiyo. 1
Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1
Isaiah 64:6Sisi sote tumekuwa kama mtu aliye najisi, 2 nayo matendo yetu yote ya uadilifu ni kama matambaa machafu; 1 sisi sote tunasinyaa kama jani, 2 na kama upepo maovu yetu hutupeperusha. 1
Jeremiah 12:4Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini, 2 na majani katika kila shamba kunyauka? 1 Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, 2 wanyama na ndege wameangamia. 1 Zaidi ya hayo, watu wanasema, 2 “ Bwana hataona yatakayotupata sisi.” 1 Jibu La Mungu 1