Yeremia 12:4
Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini, 2 na majani katika kila shamba kunyauka? 1 Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, 2 wanyama na ndege wameangamia. 1 Zaidi ya hayo, watu wanasema, 2 “ Bwana hataona yatakayotupata sisi.” 1 Jibu La Mungu 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 107:34nchi izaayo ikawa ya chumvi isiyofaa, 2 kwa sababu ya uovu wa wale walioishi humo. 1
Isaiah 24:6Kwa hiyo laana inaiteketeza dunia, 2 watu wake lazima waichukue hatia yao. 1 Kwa hiyo wakazi wa dunia wameteketezwa, 2 nao waliosalia ni wachache sana. 1
Jeremiah 4:28Kwa hiyo dunia itaomboleza 2 na mbingu zilizo juu zitakuwa giza, 1 kwa sababu nimesema nami sitarudi nyuma, 2 nimeamua na wala sitageuka.” 1
Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?
Jeremiah 9:9Je, nisiwaadhibu kwa ajili ya jambo hili?” 2 asema Bwana. 1 “Je, nisijilipizie kisasi 2 kwa taifa kama hili?” 1
Jeremiah 14:2“Yuda anaomboleza, 2 miji yake inayodhoofika; 1 wanaomboleza kwa ajili ya nchi, 2 nacho kilio kinapanda kutoka Yerusalemu. 1