Isaya 26:16
Bwana, walikujia katika taabu yao, 2 wewe ulipowarudi, 2 waliweza kuomba kwa kunongʼona tu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
LORD, in trouble have they visited thee, they poured out a prayer when thy chastening was upon them.
In Context
Cross References
Judges 10:9Waamoni nao wakavuka Yordani ili kupigana na Yuda, Benyamini na nyumba ya Efraimu, nayo nyumba ya Israeli ikawa katika taabu kubwa.
1 Samuel 1:15Hana akajibu, “Si hivyo bwana wangu, mimi ni mwanamke mwenye huzuni kubwa. Mimi sijanywa mvinyo wala kileo, nilikuwa ninaumimina moyo wangu kwa Bwana.
2 Chronicles 33:12Katika dhiki yake akamsihi Bwana Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.
Psalms 42:4Mambo haya nayakumbuka 2 ninapoimimina nafsi yangu: 1 Jinsi nilivyokuwa nikienda na umati wa watu, 2 nikiongoza maandamano kuelekea kwenye nyumba ya Mungu, 1 kwa kelele za shangwe na za shukrani 2 katikati ya umati uliosherehekea. 1
Psalms 77:1Nilimlilia Mungu ili anisaidie, 2 nilimlilia Mungu ili anisikie. 1
Psalms 78:34Kila mara Mungu alipowaua baadhi yao, 2 waliosalia walimtafuta, 2 walimgeukia tena kwa shauku. 1