The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 26 › Isaya 26:17

Isaya 26:17

Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa 2 anavyogaagaa na kulia kwa ajili ya maumivu yake, 2 ndivyo tulivyokuwa mbele zako, Ee Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Like as a woman with child, that draweth near the time of her delivery, is in pain, and crieth out in her pangs; so have we been in thy sight, O LORD.

In Context

16Bwana, walikujia katika taabu yao, 2 wewe ulipowarudi, 2 waliweza kuomba kwa kunongʼona tu. 1

18Tulikuwa na mimba, tuligaagaa kwa maumivu, 2 lakini tulizaa upepo. 1 Hatukuleta wokovu duniani, 2 hatujazaa watu katika ulimwengu huu. 1

Read all of Isaya 26

Cross References

Psalms 48:6Kutetemeka kuliwashika huko, 2 maumivu kama ya mwanamke 2 mwenye utungu wa kuzaa. 1

Isaiah 21:3Katika hili mwili wangu umeteswa na maumivu, 2 maumivu makali ya ghafula yamenishika, 2 kama yale ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa. 2 Nimeduwazwa na lile ninalolisikia, 2 nimeshangazwa na lile ninaloliona. 1

Jeremiah 6:24Tumesikia taarifa zao, 2 nayo mikono yetu imelegea. 1 Uchungu umetushika, 2 maumivu kama ya mwanamke katika utungu wa kuzaa. 1

John 16:21Mwanamke anapokuwa na utungu wa kuzaa huwa na maumivu kwa sababu saa yake imewadia. Lakini mtoto akiisha kuzaliwa, yule mwanamke husahau maumivu hayo kwa sababu ya furaha ya kuzaliwa mtoto ulimwenguni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 26:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 26:16Isaya 26Isaya 26:18 →