Isaya 26:15
Umeliongeza hilo taifa, Ee Bwana, 2 umeliongeza hilo taifa. 1 Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe, 2 umepanua mipaka yote ya nchi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Bwana, walikujia katika taabu yao, 2 wewe ulipowarudi, 2 waliweza kuomba kwa kunongʼona tu. 1
Cross References
Genesis 13:16Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.
Deuteronomy 4:27Bwana atawatawanya miongoni mwa mataifa, na ni wachache wenu tu watakaosalia miongoni mwa mataifa hayo ambayo Bwana atawafukuzia.
Deuteronomy 28:25Bwana atakufanya ushindwe mbele ya adui zako. Utawajia kwa njia moja lakini utawakimbia mbele yao kwa njia saba, nawe utakuwa kitu cha kuchukiza kwa falme zote za dunia.
Deuteronomy 32:26Nilisema ningewatawanya 2 na kufuta kumbukumbu lao 2 katika mwanadamu. 1
2 Kings 17:6Katika mwaka wa tisa wa Hoshea, mfalme wa Ashuru akaiteka Samaria na kuwahamishia Waisraeli huko Ashuru. Akawaweka huko Hala, na Gozani karibu na Mto Habori, na katika miji ya Wamedi. 1 Israeli Inakwenda Uhamishoni Kwa Sababu Ya Dhambi
2 Kings 23:27Hivyo Bwana akasema, “Nitamwondoa Yuda mbele zangu kama nilivyomwondoa Israeli, nami nitaukataa Yerusalemu, mji niliouchagua, na Hekalu hili, ambalo nilisema, ‘Jina langu litakaa humo.’ ”