Isaya 26:19
Lakini wafu wenu wataishi, 2 nayo miili yao itafufuka. 1 Ninyi mnaokaa katika mavumbi, 2 amkeni mkapige kelele kwa furaha. 1 Umande wenu ni kama umande wa asubuhi, 2 dunia itawazaa wafu wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 2:5hapakuwepo na mche wa shambani uliokuwa umejitokeza ardhini, wala hapakuwepo na mmea wa shamba uliokuwa umeota, kwa kuwa Bwana Mungu alikuwa hajanyeshea mvua juu ya nchi, na hapakuwepo mtu wa kuilima ardhi,
Deuteronomy 33:13Kuhusu Yosefu akasema: 1 “ Bwana na aibariki nchi yake 2 kwa umande wa thamani 2 kutoka mbinguni juu, 1 na vilindi vya maji 2 vilivyotulia chini; 1
Job 14:8Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini 2 na kisiki chake kufa udongoni, 1
Psalms 22:15Nguvu zangu zimekauka kama kigae, 2 ulimi wangu umegandamana 2 na kaakaa la kinywa changu, 1 kwa sababu umenilaza 2 katika mavumbi ya kifo. 1
Psalms 88:11Je, upendo wako hutangazwa kaburini, 2 uaminifu wako katika Uharibifu? + 88:11 Yaani Abadon . 1
Isaiah 25:8yeye atameza mauti milele. 1 Bwana Mwenyezi atafuta machozi katika nyuso zote; 2 ataondoa aibu ya watu wake duniani kote. 4 Bwana amesema hili. 1