Isaya 26:18
Tulikuwa na mimba, tuligaagaa kwa maumivu, 2 lakini tulizaa upepo. 1 Hatukuleta wokovu duniani, 2 hatujazaa watu katika ulimwengu huu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 5:22Mose akarudi kwa Bwana na kumwambia, “Ee Bwana, mbona umewaletea watu hawa taabu? Kwa nini basi ukanituma mimi?
1 Samuel 11:13Lakini Sauli akasema, “Hakuna hata mmoja atakayeuawa leo, kwa kuwa siku hii Bwana ameokoa Israeli.”
2 Kings 19:3Wakamwambia, “Hili ndilo asemalo Hezekia: Siku hii ni siku ya dhiki, ya kukaripiwa na ya aibu, kama wakati watoto wanapofikia karibu kuzaliwa na kumbe hakuna nguvu ya kuwazaa.
Isaiah 33:11Mlichukua mimba ya makapi, 2 mkazaa mabua, 2 pumzi yenu ni moto uwateketezao. 1
Isaiah 59:4Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki; 2 hakuna hata mmoja anayetetea shauri lake kwa haki. 1 Wanategemea mabishano matupu na kusema uongo, 2 huchukua mimba ya magomvi na kuzaa uovu. 1
John 7:7Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, lakini unanichukia mimi kwa sababu ninawashuhudia kwamba matendo yao ni maovu.