Isaiah 26:21
Tazama, Bwana anakuja kutoka makao yake 2 ili kuwaadhibu watu wa dunia kwa ajili ya dhambi zao. 1 Dunia itadhihirisha umwagaji damu juu yake, 2 wala haitaendelea kuwaficha watu wake waliouawa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 4:10Bwana akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
Job 16:18“Ee nchi, usiifunike damu yangu, 2 nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe. 1
Isaiah 13:11Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, 2 waovu kwa ajili ya dhambi zao. 1 Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, 2 na nitakishusha kiburi cha watu wakatili. 1
Isaiah 30:12Kwa hiyo, hili ndilo asemalo yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Kwa sababu mmekataa ujumbe huu, 2 mkategemea uonevu na kutumainia udanganyifu, 1
Ezekiel 8:6Ndipo akaniambia, “Mwanadamu, je, unaona yale wanayofanya, haya mambo ya machukizo kabisa nyumba ya Israeli wanayotenda hapa, ambayo yatanifanya niende mbali na mahali pangu patakatifu? Lakini utaona vitu ambavyo vinachukiza zaidi hata kuliko hivi.”
Ezekiel 10:3Basi wale makerubi walikuwa wamesimama upande wa kusini wa Hekalu wakati yule mtu alipoingia ndani, wingu likaujaza ule ukumbi wa ndani.