The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 26 › Isaya 26:9

Isaya 26:9

Nafsi yangu yakutamani wakati wa usiku, 2 wakati wa asubuhi roho yangu yakuonea shauku. 1 Wakati hukumu zako zinapokuja juu ya dunia, 2 watu wa ulimwengu hujifunza haki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

With my soul have I desired thee in the night; yea, with my spirit within me will I seek thee early: for when thy judgments are in the earth, the inhabitants of the world will learn righteousness.

In Context

8Naam, Bwana, tukienenda katika sheria zako, 2 twakungojea wewe, 1 jina lako na sifa zako 2 ndizo shauku za mioyo yetu. 1

10Ingawa neema yaonyeshwa kwa waovu, 2 hawajifunzi haki, 1 hata katika nchi ya unyofu huendelea kutenda mabaya 2 wala hawazingatii utukufu wa Bwana. 1

Read all of Isaya 26

Cross References

Numbers 14:21Hata hivyo, kwa hakika kama niishivyo, na kwa hakika kama utukufu wa Bwana uijazavyo dunia yote,

Psalms 58:11Ndipo wanadamu watasema, 2 “Hakika utulivu wa wenye haki bado una thawabu, 2 hakika kuna Mungu ahukumuye dunia.”

Psalms 63:6Kitandani mwangu ninakukumbuka wewe, 2 ninawaza juu yako makesha yote ya usiku. 1

Psalms 77:2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, 2 usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka 2 na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 1

Psalms 83:18Hebu wajue kwamba wewe, ambaye jina lako ni Bwana, 2 kwamba wewe peke yako ndiwe Uliye Juu Sana ya dunia yote.

Psalms 130:6Nafsi yangu inamngojea Bwana 2 kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, 1 naam, kuliko walinzi 2 waingojeavyo asubuhi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 26:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 26:8Isaya 26Isaya 26:10 →