The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 26 › Isaya 26:10

Isaya 26:10

Ingawa neema yaonyeshwa kwa waovu, 2 hawajifunzi haki, 1 hata katika nchi ya unyofu huendelea kutenda mabaya 2 wala hawazingatii utukufu wa Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let favour be shewed to the wicked, yet will he not learn righteousness: in the land of uprightness will he deal unjustly, and will not behold the majesty of the LORD.

In Context

9Nafsi yangu yakutamani wakati wa usiku, 2 wakati wa asubuhi roho yangu yakuonea shauku. 1 Wakati hukumu zako zinapokuja juu ya dunia, 2 watu wa ulimwengu hujifunza haki. 1

11Ee Bwana, mkono wako umeinuliwa juu, 2 lakini hawauoni. 1 Wao na waone wivu wako kwa ajili ya watu wako tena waaibishwe, 2 moto uliowekwa akiba kwa ajili ya adui zako na uwateketeze. 1

Read all of Isaya 26

Cross References

Exodus 8:31naye Bwana akafanya lile Mose alilomwomba. Mainzi yakaondoka kwa Farao, kwa maafisa wake na kwa watu wake, wala hakuna hata inzi aliyebakia.

Deuteronomy 32:15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1

2 Kings 13:6Lakini hawakuziacha dhambi za nyumba ya Yeroboamu, ambazo alisababisha Israeli kuzitenda, bali wakaendelea kuzitenda. Nguzo ya Ashera pia iliendelea kusimama katika Samaria.

Psalms 78:54Hivyo akawaleta hadi kwenye mpaka wa nchi yake takatifu, 2 hadi nchi ya vilima ambayo mkono wake wa kuume ulikuwa umeitwaa. 1

Psalms 143:10Nifundishe kufanya mapenzi yako, 2 kwa maana wewe ndiwe Mungu wangu, 1 Roho wako mwema na aniongoze 2 katika nchi tambarare. 1

Ecclesiastes 3:16Pia nikaona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Mahali pa kutolea hukumu, 2 uovu ulikuwepo, 1 mahali pa kupatia haki, 2 uovu ulikuwepo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 26:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 26:9Isaya 26Isaya 26:11 →