Isaiah 28:11
Sawa kabisa, kwa midomo migeni 2 na kwa lugha ngeni, 2 Mungu atasema na watu hawa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For with stammering lips and another tongue will he speak to this people.
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:49Bwana ataleta taifa dhidi yako kutoka mbali, kutoka miisho ya dunia, kama tai ashukiavyo mawindo chini, taifa ambalo hutaijua lugha yake,
Jeremiah 5:15Ee nyumba ya Israeli,” asema Bwana, 2 “Ninaleta taifa toka mbali dhidi yako, 1 taifa la kale na linaloendelea kudumu, 2 taifa ambalo lugha yao huijui, 2 wala msemo wao huwezi kuuelewa. 1