Isaiah 28:9
“Yeye anajaribu kumfundisha nani? 2 Yeye anamwelezea nani ujumbe wake? 1 Je, ni kwa watoto walioachishwa kunyonya? 2 Je, ni wale ambao ndipo tu wametolewa matitini? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Meza zote zimejawa na matapishi 2 wala hakuna sehemu hata ndogo 2 isiyokuwa na uchafu. 1
Cross References
Psalms 50:17Unachukia mafundisho yangu 2 na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 1
Proverbs 1:29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1
Isaiah 30:10Wanawaambia waonaji, 2 “Msione maono tena!” 1 Nako kwa manabii wanasema, 2 “Msiendelee kutupatia maono 2 ambayo ni ya kweli! 1 Tuambieni mambo ya kupendeza, 2 tabirini mambo ya uongo. 1
Isaiah 48:17Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Mimi ni Bwana, Mungu wako, 2 nikufundishaye ili upate faida, 2 nikuongozaye katika njia ikupasayo kuiendea. 1
Isaiah 53:1Ni nani aliyeamini ujumbe wetu, 2 na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani? 1
Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?