Isaya 28:12
wale ambao aliwaambia, 2 “Hapa ni mahali pa kupumzika, 2 waliochoka na wapumzike,” 1 na, “Hapa ni mahali pa mapumziko,” 2 lakini hawakutaka kusikiliza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Sawa kabisa, kwa midomo migeni 2 na kwa lugha ngeni, 2 Mungu atasema na watu hawa, 1
Cross References
2 Chronicles 14:11Kisha Asa akamlilia Bwana Mungu wake na kusema, “Ee Bwana, hakuna yeyote aliye kama wewe wa kuwasaidia wasio na nguvu dhidi ya wenye nguvu. Utusaidie, Ee Bwana, wewe ndiwe Mungu wetu, kwa kuwa tunakutumainia wewe, nasi kwa jina lako tumekuja dhidi ya jeshi hili kubwa. Ee Bwana, wewe ndiwe Mungu wetu, usiwaache wanadamu wakushinde wewe.”
Psalms 81:11“Lakini watu wangu hawakutaka kunisikiliza; 2 Israeli hakutaka kunitii. 1
Isaiah 29:12Au kama mkimpa mtu yeyote kitabu hiki asiyeweza kusoma na kumwambia, “Tafadhali kisome,” atajibu, “Mimi sijui kusoma.”
Jeremiah 6:16Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Simama kwenye njia panda utazame, 2 ulizia mapito ya zamani, 1 ulizia wapi ilipo njia nzuri, uifuate hiyo, 2 nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 2 Lakini ninyi mlisema, ‘Hatutaipita hiyo.’ 1
Zechariah 7:11“Lakini wakakataa kusikiliza, wakanipa kisogo kwa ukaidi na kuziba masikio yao.
Matthew 11:28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.