Isaiah 28:13
Hivyo basi, neno la Bwana kwao litakuwa: 2 Amri juu ya amri, amri juu ya amri, 2 kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni, 2 hapa kidogo, kule kidogo: 1 ili waende na kuanguka chali, 2 wakijeruhiwa, wakinaswa na kukamatwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Kwa hiyo sikieni neno la Bwana, enyi watu wenye dharau 2 mnaotawala watu hawa wa Yerusalemu. 1
Cross References
Psalms 69:22Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, 2 nayo iwe upatilizo na tanzi. 1
Isaiah 6:10Fanya mioyo ya watu hawa kuwa migumu, 2 fanya masikio yao yasisikie, 2 na upofushe macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 nao wakageuka, nikawaponywa.”
Isaiah 8:15Wengi wao watajikwaa; 2 wataanguka na kuvunjika, 2 watategwa na kunaswa.” 1
Jeremiah 23:36Lakini kamwe msiseme tena, ‘Nina mzigo wa Bwana,’ kwa sababu kila neno la mtu binafsi linakuwa mzigo wake mwenyewe, na hivyo kupotosha maneno ya Mungu aliye hai, Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wetu.
Hosea 8:12Nimeandika kwa ajili yao mambo mengi 2 kuhusu sheria yangu, 1 lakini wameziangalia 2 kama kitu cha kigeni. 1
Matthew 21:44Yeye aangukaye juu ya jiwe hili atavunjika vipande vipande, lakini yule litakayemwangukia atasagwa kabisa.”