Isaya 8:15
Wengi wao watajikwaa; 2 wataanguka na kuvunjika, 2 watategwa na kunaswa.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And many among them shall stumble, and fall, and be broken, and be snared, and be taken.
In Context
16Funga ushuhuda na kutia muhuri sheria 2 miongoni mwa wanafunzi wangu. 1
Cross References
Isaiah 28:13Hivyo basi, neno la Bwana kwao litakuwa: 2 Amri juu ya amri, amri juu ya amri, 2 kanuni juu ya kanuni, kanuni juu ya kanuni, 2 hapa kidogo, kule kidogo: 1 ili waende na kuanguka chali, 2 wakijeruhiwa, wakinaswa na kukamatwa. 1
Jeremiah 6:21Kwa hiyo hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Nitaweka vikwazo mbele ya watu hawa. 2 Baba na wana wao watajikwaa juu yake, 2 majirani na marafiki wataangamia.”
Matthew 15:14Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”
Luke 20:17Lakini Yesu akawakazia macho, akasema, “Basi ni nini maana ya yale yaliyoandikwa: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi, 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni’?
Romans 9:32Kwa nini? Kwa sababu hawakuitafuta kwa njia ya imani bali kwa njia ya matendo. Wakajikwaa kwenye lile “jiwe la kukwaza.”