The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 28 › Isaiah 28:2

Isaiah 28:2

Tazama, Bwana anaye mmoja aliye na uwezo na nguvu. 2 Kama dhoruba ya mvua ya mawe na upepo uharibuo, 1 kama mvua inyeshayo kwa nguvu na mafuriko yashukayo, 2 atakiangusha chini kwa nguvu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, the Lord hath a mighty and strong one, which as a tempest of hail and a destroying storm, as a flood of mighty waters overflowing, shall cast down to the earth with the hand.

In Context

1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1

3Lile taji la maua, kiburi cha walevi cha Efraimu, 2 kitakanyagwa chini ya nyayo. 1

Read all of Isaiah 28

Cross References

Isaiah 9:9Watu wote watajua hili: 2 Efraimu na wakazi wa Samaria, 1 wanaosema kwa kiburi 2 na majivuno ya mioyo, 1

Isaiah 27:1Katika siku ile, 1 Bwana ataadhibu kwa upanga wake, 2 upanga wake mkali, mkubwa na wenye nguvu, 1 ataadhibu Lewiathani + 27:1 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. yule nyoka apitaye kwa mwendo laini, 2 Lewiathani yule nyoka mwenye kujipinda; 1 atamuua joka huyo mkubwa sana wa baharini.

Isaiah 29:6Bwana Mwenye Nguvu Zote atakuja 1 na ngurumo, tetemeko la ardhi, na kwa sauti kuu, 2 atakuja na dhoruba, tufani na miali ya moto iteketezayo. 1

Isaiah 40:10Tazameni, Bwana Mwenyezi anakuja na nguvu, 2 nao mkono wake ndio utawalao kwa ajili yake. 1 Tazameni, ujira wake u pamoja naye, 2 nayo malipo yake yanafuatana naye. 1

Ezekiel 30:10“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Nitakomesha makundi ya wajeuri ya Misri 2 kwa mkono wa Nebukadneza mfalme wa Babeli. 1

Nahum 1:8lakini kwa mafuriko makubwa, 1 ataangamiza Ninawi; 2 atafuatilia adui zake hadi gizani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 28:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 28:1Isaiah 28Isaiah 28:3 →